Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Kuhusu TCRA Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni taasisi iliyoasisiwa kwa mujibu wa sheria yenye wajibu wa kudhibiti sekta ya Mawasiliano ya Kielektroni na Posta Tanzania. DIRA YETU Jamii iliyowezeshwa na huduma za mawasiliano. DHAMIRA YETU Kusimamia huduma za mawasiliano kwa ustawi wa Jamii ya Watanzania. WAJIBU WETU Wajibu wa Mamlaka ya Udhibiti Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni kudhibiti sekta ya mawasiliano na kielektroni na posta kwa mujibu wa Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania Namba 12 ya mwaka 2003
- Abone
- 41k
- Görüntüleme
- 2 · 0 favori
- Kopya
- 0 · 0 oyuncu
- Satışta
- 0
Değer
- Son satış
- -
- Parçalama değeri
- 1
Sonraki koleksiyon, Kış 2026: Yaygın
100k abonede sonraki koleksiyonlarda Az Yaygın olur.
Sonraki koleksiyonlarda yükselmesi için kanala abone ol!