Msasa Media
KANUNI NA MUONGOZO Msasa Media ni Chombo Cha Habari kwa njia ya kidigitali ambapo tumejikita katika kuripoti matukio mbalimbali ya Burudani kama filamu muziki, michezo, elimu na masuala mbalimbali ya jamii kwa ujumla. Dawati la Uhariri Msasa Online linazingatia haya. 1. Kuripoti habari za kweli zilizo haririwa kwa umakini. 2. Kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwahabarisha watazamaji wetu. 3. Kuzingatia maadili ya habari kwa kuhakikisha uwiano na kutoa habari zisizo pendelea upande mmoja. 4.Kujiepusha na utoaji habari zenye udini, ukabila na yoyote yanayoweza kusababisha taharuki. 5. Kufanya kazi kwa nidhamu na weredi. Muongozo kwa watazamaji wetu 1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni. 2. Msasa Online inaweza kufuta maoni ambayo yanaweza kuchochea uvunjifu wa amani au kusababisha taharuki. 3. Msasa Online inaweza kuzuia mtu asiweze kuona au kuweka maoni kwenye taarifa tunazohabarisha endapo atakiuka taratibu za muongozo huu. 4. Lugha chafu na zisizo na maadili haziruhusiwi.
- 구독자
- 531k
- 조회수
- 8 · 즐겨찾기 0
- 발행 수
- 0 · 플레이어 0명
- 판매 중
- 0
가치
- 최근 판매
- -
- 처분 가치
- 10
다음 컬렉션, 2026 겨울: 레어
구독자 2M명이 되면 다음 컬렉션부터 슈퍼 레어 등급이 돼요.
다음 컬렉션에서 희귀도를 올리고 싶다면 채널을 구독해 보세요!